Saturday, February 9, 2013

TANGAZO

HABARI ZA ASUBUHI WANASIHI WENZANGU?

NAWAKUMBUSHA KUHUDHURIA IBADA YA

MAOMBI LEO JUMAPILI TAREHE 10 FEBRUARI 2013

SAA NANE MCHANA KATIKA UKUMBI WA MWAKASYUKA

(OLD CUMPUS).NI KWA AJILI YA KUOMBEA NCHI, CHUO 

CHETU NA MITIHANI AMBAYO ITAANZA TAREHE 18

FEBRUARI 2013.WATU WA DINI ZOTE MNAKARIBISHWA.


                     ZABURI 34;3

BY   WAZIRI   WA   MAADILI,   JINSIA   NA   DINI


                   JOHN  ELINA

No comments:

Post a Comment